Thursday, 22 September 2011

Muchatha Akiwa Statehouse....hehehe

Kitambo kwa wale walikutaga Mutukufu baba mwoi akiwa baba (as my mum would call him), walijua kitu moja muthuri sana na huyu baba especially akipitia karibu na chule yenu. Arikuwa anathimamicha mangari sake, anatokerecea hapa juu kwa kadiricha ya roof, anainua fimbo yake anaulisa..”nani hedimazta ya hava?” headmaster anatokesea mbere kama ako karibu kuhara, ni uoga. Kwanja kama ni mwanaume na ako na kitabi, warikuwa wanaogopa saidi asiuliswe..”mutu ago na gitambi kama hii anaonesha muvano gani gwa watoto wa nyayo?..kuanzia leo, napitisha kama mutu igo na tumbo kama hii afutwe gasi mara moja”. Rakini sana sana, wakati baba ako na pesa na mood poa especially kama bonus ya majani shai imepeanwo, headmaster alikuwa anatokesea anasema.”ndio mimi hapa baba”. Baba nayeye akiona vile mwanaume musima ametokesea kama amenyenyekea, anaseka anasema..”naona ugame umewazidia sana. Na gwasababu baba anapenda watoto wage, nipe hiyo bahasha havo, nipatie watoto wangu wagule nyama leo”. Hapo hapo mwalimu wa games anaanza kutupigicha makofi mbaka mikono inatoa iroruha (blisters): hep! hep! Moja…asandi..pa! pa! pa! baba ..pa! pa! pa!..kwa kuona pa! pa! pa! watoto wako.. pa! pa! pa! wako na njaa.. pa! pa! pa! na ukatupatia pa! pa! pa! kitu.. pa! pa! pa! kidogo pa! pa! pa!..uichi.. pa! pa! pa! mirere.. pa! pa! pa! kama kigogo.. pa! pa! pa!..funga.. pa! pa! pa! fungua pa! pa! pa!.asandi. Nyayo pa! pa! pa!..nyayo pa! pa! pa!..nyayo pa! pa! pa!. Baba anafurahi sana anaingia ndani ya ngari anahepa.

Juu ya hii stori ya baba, mahedimaster na mahedimistress wakaanja kuwa wajaja ndio baba atoe pesa mingi na apitiage hiyo route mara mingi. Ujaja wa kwanja kwa baba ni kufuta headimaster muweke hedimistress ako na figure ya kuua (hapa baba na wakigogoine wanafanana). Kila wakati akiitana, huyo hedimistress anatokesea kama anaswing tuhips na kusmile mbaka anapata muscle pull kwa cheeks. Hapo hapo baba anasema..”mugo na sida gani matam?” madama anajibu..”baba hatuna boohoo (borehole), dormitory sinanyecha na laimbrare haina fitabu”. Halafu anasmailo. Baba anasema…” masida senu yooote nimesigia na nimeona. Naomba madam uingie kwa gari tuende tugataturie ..(clears throat)..mbeere. na mungu awafariki”. Hapo hapo madam anaruka kwa ngari. Mwanake akija jioni kumuchukua anaulisa..”where is mrs Choti today?” deputy anajibu..”ako na baba wanatatua maneno yah ii chule”..Mr Choti anaseka anajua ..mburoti pap!. Kecho yake Mrs Choti anaretwo na bensi tatu hasina namba anawekwo hapo ije ya gate. Maangai akiingia..boohole inasimbwo na wiki moja na dormitory singine sinajengwo na mwesi moja na anajinunulia fujoti faef o fo ya kubeba wathii hiyo route”.

Kama hakuna headmistress, kama irivyokuwa katika chule yetu ingine irikuwa inaitwo “Kihika Kimani Mutukanio Mboys and Girls Day and Boarding Kwanyu Niku Secondary School” whose motto was… “we dictate notes but Jesus teaches”, lasima mungekuwa wajaja. Mr kuria (headmaster) alikuwa ameabia mwalimu wa myusik atengenese kwaya yenye itakuwa ready 365 days a year. Ile kitu interesting ni kuwa hiyo kwaya haikuwa na mboys, ni madem woote wako na hips na matiti inafaliwo sindiria sio ile ndoogo ya kushikiliwo na shafota. Idea ilikuwa wakidance mahips sinapiga right na reft nasyo nyonyo sinarukaruka hadi baba anatoa mbesa. Kuna musisana moja irikuwa inaitwo Christine. Huyu Christine alikuwa kwa kwaya kutoka tuingie form wanu mbaka tukafika form foo. Kira time baba alipitia hapo, alikuwa anasema “wafi ire mutoto yangu?” Christine nakio kinatokesea kama kinaseka kweri kweri. Baba anaulisa..’mwaga huu uko vomu ngafi”…Christine kinajibu. Baba anaseka anasema..”fatia hii vesa hedimaster na muenderee hifyo hifyo”. Ikaenderea hifyo mbaka kira term baba arikuwa anapitia hapo na anaurisa lile lile swari na kumpatia “vesa’ apatie hedimasta.

Maneno irianja kuwa interesting turipofika form foo. Christine alikuwa anakaa kama jua ni urebo. Tena arikuwa ananengua kiuno mbaka sisi wote tunachimamicha. Baba akapitia akaulisa “wafi ire mutoto yangu?” Christine kikatokesea kama kinaseka kweri kweri. Baba akaulisa..’mwaga huu uko vomu ngafi”…Christine kikajibu. “form four baba”..Baba agaseka akasema.. “leo ingia kwa gari. Nitagufatia vesa ya hedimaster ..(clears throat)..mbeere”. Baas tukanjua kwicha. Watu kama sisi wenye turikuwa na matumaini ya kutomboa yeye, tukajua tumeicha. Rakini mutu kama mimi sikufa roho. Infact niliona pesa kwa hiyo deal. Hapo hapo nikaanza kusora ma business plan sya kutengenesa mbesa..lakini kuna moja irikuwa outstanding kwa soote. Kecho yake Christine akaunguchwo na benzi mbiri asubuhi na mapema. Pesa alikuwa na zo kwa paperbag mbiri. Moja ya headmaster na ingine yake. Hata headimaster hakuongea..alipewa paperbag yake akaingia kwa ofichi. Akasema kengere ya farendi ipigwo. Tukaeda kwa faredi akasema tupigie Christine makofi gwasababu amepewa pesa ya kujenga laboratory na laimbrare. Tuakfiga kama ndakika kumi. Akaongesea..”na isitoche..tumepata mirioni ine saidi in cash ya basare”..tukapiga nduru.ni furaha..rakini mimi nirinyamasa.Ngaona pesa mahali ingine. Ngajua huyu mutu ile pesa amepewo na baba, itakurwo ni waalimu na wasasi wake. Ngajua hiyo strategy sitafuata. Kitu moja tu ni ..nikiminya huyu mutu nisemage tumekura simo moja na baba..si nawesa weka exibition watu wapange raini wakiripa kobore kobore wakiona ma~white white kwa mbiruri yangu? Baas ngaanja kutafutana na hiyo simo.

Siku sa kwanja kwanja arikuwa na maringo. Madem wenzake juu ya wifu wakaanja kumuita “Christine wa Mwoi”. Nao mamboys wakaogofa kumuobaga kahehia juu ya kuogopa baba. Akakuwa lonely sana. Ndio asiombwe na mutu, nikaanza rumour ati ukiwekwo bonoko ni baba, anawekaga alamu ati akifungulia mwingine, alamu inaria Kabarnet direct. Watu wakaogofa tena saidi. Mimi na mimi nikaona opportunity. Nikaomba Kristine hadi nalia kama Ruto na Muthaura ngijitetea. Sikumoja jioni hifi, Christine akaniabia twende kwa chopping senta aninunulie supper (githeri na chapo). Ngakimbia dorm ngaambia wasee naeda kushapa Christine wa mwoi. Huyu dem hakuwa anauliswo hata akitoka kwa krass kama bell haija~ring. Alikuwa na status ya donor. So hata tulipofika kwa watchie..christine alisemaga tu..”tuko nay eye” watchie akapiga salute..akasema sawa. Tukaanza kukula pole pole hadi gisa ikaingia kidogo. Akaniabia sasa ako ready nimfanyie vile nimekuwa nikisema nataka kumfanyia. Tukakomboa ka~loging hapo Guthera bar. Tukaanza kupandana. Washa nipande mutu mayau..washa nishape mutu muti mayau. Kwanja ngikumbuka nakuria statehouse…tena sahani moja na baba..ngainiria mbaka mugongo yangu ikaanza kutoa moshi. Kitu saa tatu akaniabia turudi shule sasa. Nilikuwa naulisa nitafika saa ngafi juu hata sikujipangusa. Hata kahandawea sikuvaa ndio hiyo “supu” yetu na baba isikauke.Kufika nikaitana na ngufu..”Nimetoboa wasee!” watu nikapata hata hawakuwa wameeda supper juu ya anxiety ati waone benzi simekimbia juu ya alamu. Waliponiona nikiwa hai..wakasangilia sana.Ngajua business planyangu ime~work.

Business plan yangu ilikuwa hifi: Kunisalimia Pekee: Sh.10., Kunisalimia na kuona kijiko ikiwa na supu ya sahani ya statehouse(mbituti ikiwa na whitish): Sh.15; Kunisalimia, kuona kijiko na kukigusa Sh.20. Full package: yaani Kunisalimia, kuona kijiko,kukigusa na kunusia Sh.25 Executive package yaani: Kunisalimia, kuona kijiko,kukigusa, kunusia na Ku~name mbiruri yangu jina yako for 1 hr : Sh.50. Majameni..nilitengenesa Sh. 6,000 hiyo siku. Next weekend on sato baba akakuja akaeda kuongea na Christine mbeere. On Sunday..ngafandiria Christine..bei ikapanda. Kutoka siku hiyo nikaanza kuitwa Statehouse comptroller. Nilitengenesa pesa huo mwaka hadi nilipomarisa shule..nilijilipia CPA nikamalisa

Shimo tu ndio ilikuwa koda na deep...ukitaka kujua angalia kidole ya huyu mzee hapa

Si muchatha ako juu?


Angaria hii kidole ucompare na niniii

Wednesday, 14 September 2011

Kahehia ga Kinjo Mukurino (Part 3): giku-uu kia Muchatha

Cont'n from part two.....
Ndanacemania na giku~uu maita o matanyihiire mana no ri~iiri ria Njogu riari hakuhi muno. Riambere ni riria ndateng’eretio ni T9 mugwanja ngihonoka gukua ndahamba muti wa mubariki, riakeri no hindi iyo ndahamba mubariki ucio ugikondokera gitina~ini ngigwira T9 icio ikiura ihenya tondu cionire taari mahiga ma nyuranyura maimite iguru, ria gatatu ni riria ndahurite  Sendeo muti  nginya ngiringika, ngirwo ni mutiiri wakwa ati ni thakame yacokete kiongo igathira mutwe na ni ingiakuire. Rita ria kana ni riria ndeciririe no huure kihii kingi gietagwo Kinyuru. Mayau ndahurirwo iteke  ria heke, cikiambata nginya haha ngingo, cigicuha ta njagatha cia mburi. Ndamoyagwo na tumai tuhiu ni cucu waa Gatheera gwa kahinda ga kiumia kimwe, na ikiregera ngingo ini. Muthenya wa muico niguo cucu ucio aigire ni ciaremera no akiuga ni tukuhoya tutanainuka. Ndikariganirwo ni cucu wa Gatheera tondu anjirire ati tuhinge maitho tuhoe, ndahinga we ndahingire..agikunja ngudi agikumbaciria heke ciakwa agicihihinya  oro rimwe..cigiikuruka ta mahiga maikitio na kigutha, cikigua kamuhuko~ini gacio…ruo ru~uu rwari rwa giku~uu no ngicoka muoyo.

Urugari wa mihumu ya njogu iyo thende~ini ciakwa niguo wanjukiririe kuma kuringika kuuria ndaringikite. Njogu igacoka ikeguthaguthaga nda na muti ta uria muthigari wa G4s akirangira bengi eguthaguthaga na njuguma guoko. Ndacuthiriria ngona taari saxophone yakerite hau niuria muti waari munene.  Kinjo wakwa nake athuritie akahucuka, agacoka agakuura maitho magakia ta tawa, na akaheha o ta shuba ya stoney ii firiji ku~uu kinare. Ndageria guthikiriria ciega ciakwa njigue kana ciri okuo  ngiigua niciuriire nda, ngiigua twakomaniire na Kinjo ta turi aka eeri, yaani muti nah eke ikorira nda ngatigwo o na kamuhuko kena rutumo yaani kamondo ka nyee peke yake. Riu ni ndeciririe uhoro wakwa na mwathani, na uria ngukua ngiika mukurino na ndarama ihau mbere, ngimenya haha ninditetere. Ngiona here mehia no ngiuga prima-facie evidence no ikanjikia riiko tondu ri..ngorio atiri ni mwathani ciira~ini:

Mwathani: Kamau Muchatha”
Njitikie: Ndi haha mwathani
Mwathani: Ndirona ta urakuire wi njaga ukomeire mukurino na nginya wina kihembe hau…Nikii mwi njaga
Njitikie: reke thiire murango uuria mwari~ii.. wi wama na wa kihoto.

Muchatha na Kinjo maikio icua~ini. Ngimenya haha no nginya ndibange.Onakorwo ni ngukua ngue ndi thuruari. Ngiciria kana  ngurume nyingire rungu rwa njogu iyo nyanjie kumihura Kawasaki na mooko  nginya iite niguo yumirie, no ngiyuria ii inginjira …wihugure  nguitiririe..ngitigira. Ngicirie kana nyumirie ihenya, no ngi~iguira Kijo than a ngiririkana gathee kangi kanjirite ungikona njogu witue wi muku~uu ndingikuhura…ngiona iyo ti option. Mutwe wakwa already niwanjitie gutura nimeciria kuingiha. Ngiona kana hihi njoe ndarama nyanjie kumihuura niguo njogu yuure, ngigeria guikia maitho nyone haria ndarama yaari..ngiona I rungu rwa njogu…ngithira hinya. Ngui cia itura riu ona cia woshimani wa thukuru ucio wa kinare ciaririte ta thi irathira. Imwe yarira mwena uyu, ingi ikamukiria murimo uuria ungi. Igacoka ikarira na tha biu, ngaigua ta twi macakaya maitu. Ngikinya handu ngianjia nginya kuigua andu magithoma rugano rwakwa. Hakinya ha title ya : Gukua gwake: andu oothe makaiga “woiiii”..tondu muthomi wa rugano akiugire “marangirwo ni njogu me mahoya na Kinjo tondu nginya haari na ndarama”. Ndacuthiriria Kinjo nake no akurite maitho..nginya ndahihahgia wega. Agacoka akomagara biu. Ngimenya baas. Njogu nayo no yehuraga Kawasaki na kuguthithia muti nda yayo, ndona uguo mata makiuma kanua.

Mwathani ni wa matha maingi tondu riu riria twakinyire maono~ini makwa ma mathiko mwaria wa thirikari etwo arie augire atiri: “Nie njitagwo Kimani na ndi ranger KWS. Ni ndaiga ni poore ni giku~uu kia Muchatha na Kinjo na thirikari ni ikuona uria iguteithiriria family ciao.No ngimutaaara~ri, andu aitu niundu woria njogu cingihite, ungigakorererwo niyo, etha kihuti kana gitangari uikie iniuru~ini riayo, kana kimbu (chameleon)  na njogu iyo ikora ihenya inene muno na uhonokie muoyo waku.” Mwathani aromahurukia kundu kwega kuri……..” nyenyenyenyenye onandiathikiri~irie kuuria endaga tukahuruke kana kwi ngi kana gutiri hiti. Nindaiguite haria ndendaga kuigua…kuharukia gitangari. Ngigarura  orimwe ngicomora Kinjo gathurwari gake kau gakwamite kuguru~ini gwake…ngiharukia njogu~iria iniuru~ini riayo nginya gwoko gugithirira thiinii ngicomora ngimirorera. Wambere muti wayo ugocoka thii~ini ta uria wakwa wori~ire, heke ciayo iki~inaina, ..igicoka ikioya iniuru riayo naiguru…ikianjia gucoka nathutha…ikiumiria ihenya itari ndona. Yageragia kuhuha thurwari iyo yume, kihuuni kiayo gikagamba ta kia mundu ureruta kuhuha kihuuni na kanua nikomire mata. Yora biu~ri..ngiigua Kinjo nianjia kuhiuha mwiri, na akianjia kuhambata ng’ong’o akinjira

“ Gutiri mundu murume kahii. Niwageria njamba” akengete magego ta rumbwa rwanyua iriia. Ngimuuria..”ngwonete ta ugukwite ndamaka muno” Agicokia..”kai muchatha wi mukigu atia..mwarimu witu atwirire waona Njogu uka~act dead” na uguo niguo ngwikite” Ngimwira “ngomeno kai waigua mundu a~act dead kaari nginya ukuure maitho na uhehe” akinjira “ kai andu aku~uu makoragwo mari ahiu njeege ino? Ta huura muti urikiririe na utige ciuria cia cibu”

Ngiukia..na ndiamenyire nikii… ngwiciria niuria mukurino aragia dirty!

hehehe